Charles Washoma

Wasiliana Nami

Naamini tovuti na blogu hii itasaidia kukushawishi, kuhamasisha, na kukutia moyo ujue malengo yako katika maisha, ukue, na uongoze katika mambo ambayo unayamudu vizuri. Ningependa kusikia kutoka kwako, na ninakukaribisha ili tuwasiliane kwa njia ya kuandika maswali na maoni yako. Unaweza kuniandikia ujumbe kwa njia ya barua-pepe.

 

Contacts

info@charleswashoma.com

Unaweza pia kuwasilaina name kwa njia za Twitter, Facebook, na Linkedin.

 

Pia kuna uwezekano wa fursa ya wewe kuwasiliana na mimi katika mambo yafuatayo:

  • Kama utapenda kunialika ili niongee kwenye biashara yako au tukio lako.
  • Kama utapenda kutumia huduma zangu katika fani za uongozi, mipango mikakati na maendeleo ya utawala.
  • Kama utapenda kushirikiana nami katika maeneo ambayo mimi na wewe tunavutiwa nayo.

 

Ninashauku kubwa kushirikiana na wewe, na kuweza kutoa huduma kwako pamoja na kujifunza na kukua kama matunda ya kuhamiana kwetu.